When a Rich Woman Says ”I have nothing to wear” Nakua Simuelewi

Donatella Versace Ni Italian Fashion Designer na Vice President wa Versace Group, as well as its chief designer. Anamiliki Asilimia 20 ya kampuni hiyo.Ni wale wa mama ambao uzee ni mwiko ,sawa utakua na kunyanzi uta lift uso but mwili wake na mavazi ndo wale vijana wazee.

Ali share her closet ,walk in closet imepangwa haswaa ,na inavitu vya thamani but at the same time anasema hua anakosa cha kuvaa ,hili swala halina tajiri au mtu wa kawaida, we all go through it but inakua inashangaza kama mtu ana vyuma kama vitatu vya nguo na bado akose ya kuvaa.

Her closet ana share na mbwa wake Audrey

Hii ni close ambayo unaweza vaa nguo mwaka bila kurudia ,from bags,shoes etc

wamepatanga kwa colors na styles za nguo ,upande wa kulioa kunaona magauni na blazers na tops ,hapo nyuma yake ni shoes

Huyu mama kama Victoria Beckham full umbaumbau,i know unene sio dili but wembamba mwingine duh

thank to Da Khadija Mwanamboka kwa kunitag on this post

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.