When The Groom Squad Come Through

Kuna entrance zingine zinakua amazing na simple ,wakaka wengi sio wa kucheza sana but ukikutana na Squad kama hii dah we mwenyewe uanfurahi.

Kucheza kama kote ,Squad kama lote,nice dance video huyo kaka wa mwanza he is soo coming to my wedding anajua hadi anaboa maara ya kwanza nkajua yeye ndo Groom.

the turn up is the booooomb

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.