Who wore the Peekaboo black huge over sized sunglasses

Seems these peekaboo glasses are starting to trend right now,sababu wakishavaa watu maarufu tu ,watu wengi wana anza na wao kuvaa.

These are huge sunglasses wachache pia wanaweza kuzi pull off na wakapendeza.

Vanessa Mdee alivaa zenye color kama nyekundu hivi

na Iam Chimano yeye kavaa za transparent

who wore them better ???

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.