Why Picha ya Jendall Jenner inayo onyesha akiwa na Chunusi Kubwa inavyo trendy

Sijui kama kuna mtu ambaye hajawahi ku deal na chunusi kama sio wewe mwenyewe hata rafiki au ndugu umeshawahi kuona akiwa na chunusi na zinavyojua kutesa watu,Now Kendall Jenner amekua ana trend kwa mitandao sasa hivi sababu tu ya picha yake akiwa kwenye Golden Globes 2018 ikionyesha ana chunusi kubwa hivi in short her skin haikua in the perfect condition japo alipakwa na make up.

Ni common as we all age basi hata hormones zetu zina change so wengine kutokea na chunusi na wengine wanakua smooth kila mtu ana deal na ukuaji na effect zake kivyake.Chunusi hazimaanishi mtu ni mchafu wala nini kuna mambo kibao kama kubadili sabuni au mafuta etc

 

Kendall is a gorgous a model with great features and a human being its sad kuona watu wama mcriticise kwa kua tu ana chunusi jamani akifanya plastic surgery wamachamba akiwa natural wanamchamba hawana jema.Jamii imejenga kua na utamuduni wa kuishi kwa standard flani tukisahau hawa ni wanadamu na wana feelings pia.

She is 22 which means bado anakua na kila mtu ana mapungufu yake wengine bila hizi face tune na app zingine hata picha msingepiga ,but yeye imekua nongwa iternet inaboa sometimes jamani.

Kendall akaona asinyamaze akajibu kuhusu  her acne situation

alitweet  “never let that sh*t [sic] stop you! ?✨”

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.