NAFASI YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUPATA FULL SCHOLARSHIP KUTOKA GRACA MACHEL TRUST

IMG-20160215-WA0001

Je ungependa kujiinvest wewe na biashara yako katika group la wealth, personal power na freedom

Kama wewe ni mwanamke na una biashara yako ndani ya Dar es salaam

Umeiendesha biashara yako almost miaka 2

Una minimum of a secondary qualification

Good understanding of English

APPLY NOW!

INGIA HUMU https://www.surveymonkey.com/r/tz2016  KUAPPLY NA KUPATA MAELEZO KAMILI

HAKIKISHA UNAFUATA MAELEKEZO VIZURI KABISA ILI UWEZE KUCHAGULIWA, WALE WATAKAOCHAGULIWA TU NDIO WATATAFUTWA NA KUJULISHWA LINI SIKU YA INTERVIEW NA VITU VINGINE VINAVYOTAKIWA.

FULL SCHOLARSHIP ITAKUWA PROVIDED BY GRACA MACHEL TRUST KWA WATAKAOCHAGULIWA, LAKINI WATAJILIPIA TRANSPORT

KUPATA MAELEZO ZAIDI PAMOJA NA FORM YA KUJAZA INGIA https://www.surveymonkey.com/r/tz2016

DEADLINE YA KUAPPLY NI TAREHE 17 FEBRUARY 2016.

WAHI SASA DO NOT MISS THIS OPPORTUNITY!

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.