ARUSHA WOMEN GALA DINNER.

women gala

Wanawake wa Arushaaa mupooooo hayaaa #womenGalaDinner iyoooo inawajia kwa hisani#women4womenTza na#8020fashionsblog
Tafadhali mjitokeze kwa wingi ili mje tubadilishene maujuzi mbali mbali ya ujasiriamali/ mahusiano na mengi mengineyo

Mwambie mwenzio amwambie mwenzie
Ukumbi:: Mount Meru
Kiingilio ::50,000 kwa VIP 100,000
Tarehe :: 9 April 2016

MUDA :: KUANZIA SAA KUMI JIONI
WOTE MNAKARIBISHWA
Maelezo zaidi piga ::
0714519910 / 0769404145

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.