Wzi Kid Awa Msanii wa Kwanza Africa Kutembea kwenye Jukwaa la Dolce & Gabbana menswear fashion show

Wiz Kid anakua msanii wa kwanza Africa ku walk the runway za designer wakubwa sana duniani Dolce & Gabanna kwenye Men’s Fashion Week Spring/Summer 2019 huko Milan.

Mbali na kuimba Wiz Kid ni model right now hii show imempa heshima kubwa na inaweza kua ndo mwanzo wa yeye kupata show nyingi zaidi,so kama kuimba kutazingua he can do modelling.

Kwenye show alivaa black outfit ambayo ilinakshiwa sana na heavy gold embroidery halaf akvaa a studded face mask,ndani akiwa kavalia a polka dots t shirt.

Wiz Kid alikua kwenye good company with super model and Queen Mother of models Naomi Campbell.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.