Za Hapa na Pale kutoka Swahili Fashion Week 2017

Swahili Fashion Week 2017 imeisha jana na ilianza ijumaa 1 December mpaka 3rd ,Mwaka huu ilikua inatimiza miaka 10 .

Hongereni sana team nzima ya Swahili Fashion Week,tumekusanya matukio mbalimbali waweza cheki kama hukuhudhuria wala kucheki kwa kideo chakeo

Ilikua black carpet ??

Taji Liundi akiwa na Msuli na t shirt

Bonuz in sheer pants

off shoulders na vitenge

 

Swalha Msabaha alistyle show ya Doreen Mashika

Legs for days

 

Eve collection

 

Martin Kadinda

Miki is a rising model 

Jamilla Vera Swai for wild Aid 

Bijoux Trendy

 Farouque Abdela for the WILDAID Collection

Kiki

Doreen Mashika for Wild Aid

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.