Zezetv ::: Series ya Walimbwende Waliopita #01 Irene Kiwia

NIMESHUHUDIA / TUMESHUHUDIA shindano maarufu la ULIMBWENDE la #MISSTANZANIAlikiyumba kama si kufa kabisa… (hilo halina mjadala na sitaki ushauri ?) mimi nikiwa kama mdau wa hii TAsnia hakika naumia sababu ni sehemu ya Ulaji wangu yes upande wa #FASHION nahitaji warembo wengi siku hadi siku na ninaona ina potential kwa warembo hawa sizungumzii lile taji as mshindi wa kwanza nazungumzia shindano zima kuanzia vitongojini hadi baada ya mshindi kupatikana na maisha ya warembo baada ya shindano.


.
.
So kwa kuona ivyo mimi na team yangu ya #ZezeTv tuomeonelea kufanya mahojiano na #WALIMBWENDE walopita ambao sisi tunaona chimbuko lao ni hii platform ya #MISSTANZANIA .
.
Hivyo tuwasikilize kupitia #zezetvwakielezea #misstanzania ilivyokuwa enzi izo na vipi imewasaidia kuwa hapo walipo leo hiii na je wapi panakosewa ? Nini kirekebishwe ili wengine wafaidike kama wao
.
.
Tulianza na @irenekiwia Aliyeshiriki mashindano haya miaka 17 ilopita msikilize kupitia #zezetv link kwa Bio ☝?☝?
.
.
#ANGALIZO mlimbwende gani alopita ungependa tuongee nae tutagie hapa ili tuwasiliane nae asaidie okoa hili jahazi linalozama

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.