Lupita Nyong’o’s Beauty Secrets

Taraji-Lupita-The-Hollywood-Reporter-04We always love her hair na make up za Lupita ,always beauty goals we get from her.Na kama ulikuwa ukijiuliza siri nzima ya urembo wake yeye toka kwa Make up Artist wake Nick Barose and hairstylist Vernon Francois.
Taraji-Lupita-The-Hollywood-Reporter-06

Nick Barose and hairstylist Vernon Francois ndo hawa.

Hapa wataongelea sana sana kuhusu nywele za Lupita na make up zake ,wanafanyaje kuzikeep na kuzitunza.

Taraji-Lupita-The-Hollywood-Reporter-05

wanaonekana sana wanapendana na kuelewana

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.