Zurich Street Style Yamnasa Our Very Own Miriam Odemba

Kwa huku kwetu Miriam Odembe ni mwanamitindo ambaye wengi tunamuangalia na kutu inspire ni legend kwenye tasnia ya uanamitindo,tangu miaka hiyo tunamuona kwenye tangazo la Revola hadi sasa yani ule msemo wa Black don’t crack ni proof kwa huyu mrembo,she is our pride and joy.

Amejua kuitangaza vyema tasnia ya mitindo na kuipeperusha vyema bendera yetu ya Tanzania,now kwenye instagram yake amepost some hints na picha akisema kuna photoshoot ya fashion kafanya ,kakutana na Modelling Ageny na mengi yanakuja so our guess will be je ame sign na kampuni ya mitindo??we cant wait to know all that but for now tucheki her street style na photographer wa Zurich  bwana Zoran Bozanic.

Always representing na hii shuka ya kimasai

Fashionshoot in Zurich
Meeting with a Model Agency
More to come soon…
Photographer: @zoranbozanic
Makeup: @dierka.arlett .
Special thanks to:
@maserati_city .

Follow her on instagram @miriamodemba

That laugh 

she is so beautiful

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.